Wanakuja tena baada ya collabo heavy na Nakaaya -Darasa Huru,Si wengine bali ni "MeccaCheka" na track mpya kabisa iloundwa pande za www.noizmekah.com wakimshirikisha mkali toka Weusi mzee mzima Gnako katika ngoma waloipa Jina "SOMA"
Almando Mwiro & Almando Rizzy wkiwa ndio waasisi wa MeccaCheka Crew
wana Mengi kwa Washabiki wa Muzika wa Muziki hapa Bongo na Duniani
Kote, Pata kuusikiliza HAPA na kwa mawasiliano zaidi piga simu +255 763 941 893 au +255 715 652 878 Powered by www.vmgafrica.com
Saturday, May 18, 2013
Friday, May 17, 2013
(Audio) Malfredy - Pigana
Ikiwa ni mkono mwingine toka Label Ya Maisha Music,Malfred anakuja na ngoma mpya kabisa ya reggae inayokwenda kwa jina Pigana, Ikiwa ina ujumbe mzito kwa jamii haswa vijana wa Kisasa. Pata kuusikiliza na ku-Download HAPA Powered by www.vmgafrica.com
Big Boss CHIEF KIUMBE ndani ya mkoko mpyaaaaaaa LAND CRUISER new model
Huyu ndio BIG BOSS Chief Kiumbe ambaye anatajwa sana kwenye nyimbo za wasanii wetu kutoka hapa bongo kuanzia band hadi wale wa bongo fleva. Leo usiku nilikutana nae pande za town akipita na tukapiga story mingi na kuniambia kwa sasa amenunua mkoko mpya na huku ukiwa na namba yenye jina lake kama unavyoona kwenye picha na nikaona sio mbaya akijiachia na camera ya DJCHOKAblog
Labels:
Chief Kiumbe,
News
(Photo's) Yaliyojiri kwenye b,day party ya MBONI MASIMBA at AKEMI HOUSE
Usiku huu mwanadada kutoka kwenye show ya The Mboni Show inayorushwa kila siku ya Alhamis saa tatu na nusu usiku EATV anajulikana kwa jina la MBONI MASIMBA anasherehekea siku yake ya kuzaliwa hapa maeneo ya mjini sehemu moja inayoitwa AKEMI. Party ilikuwa yakifamilia zaidi kwani alialika ndugu zake na marafiki wachache tu wasiopungua 20 na kuna nao kwa pamoja na kufurahi kwa pamoja, enjoy picha hizi za tukio zima.
Thursday, May 16, 2013
Wednesday, May 15, 2013
(News) Kaa tayari kwa wimbo mpya wa GOSBY "BABY MAKING SWAG"
Wimbo wangu mpya utakua unaitwa B.M.S (Baby Making Swag), umetengenezwa na Prod Pancho na Hermy B...BHITZ
NEW MIXTAPE - ADAM MCHOMVU PRESENTS "BABA JONII" MIXTAPE VOL. 1
Msanii na Mtangazaji anaewakilisha vizuri
katika kazi yake yaa muziki na usanii hapa Tanzania & beyond Adam
mchomvu a.k.a Baba Jonii anatarajia kutoa his dubut mixtape tarehe 16
May 2013 ikiwa ni siku ya birthday yake. AD+ Adam Mchomvu ameamua kutoa
mixtape hii ikiwa ni zawadi kwa mashabiki zake kwa kile kinachoonekana
kuwa the best presenter kwa muda wa miaka minne mfululizo. Mixtape hiyo
iliyosamamiwa na watayarishaji wa mapigo ya muziki mbalimbali nchini
akiwemo Pancho Latino, Messen Selekta, J Ryder na J Mudder katika
studio tofauti tofauti kama Tongwe Records, B Hits na Defatality
amewashirikisha wasanii kama Mabeste, Jose Mtambo, Banana Zoro, Climax,
Clif Mitindo, Chid Benz, Pipi, G Nako, Nick Wa Pili, T.I.D, Babu Wa
Kitaa na wengineo wengi. Mixtape hiyo yenye jumla ya nyimbo 18
inatarajiwa kuingia sokoni muda si mrefu baada ya kufanyika Preview ya
albam hiyo kwenye the big show in Tanzania XXL Ya Cloudsfm Kesho May 16
kuanzia saa 9 Alasiri....Get Ready For Yo original copy let,s keep
supporting what made in Tanzania ---> TWENZETU
Labels:
adam mchomvu,
News
(News) MAZUNGUMZO YA MAKUBALIANO YA LINAH NA BARNABA KAMA IFUATAVYO
Linah na Barnaba ni watoto wazuri sana
Hawana makuu ila katika hili kuna jambo limepita katikati
Ambalo liko nje ya uwezo wao na kuwalazimu wao kukanusha kuwa hatukukubaliana malipo katika show, mbali na kuwa walishachukua pia mpaka advance. Wote wawili
Wao wote wawili humuita Captain Dady:
Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Dady na mtoto:
Hawana makuu ila katika hili kuna jambo limepita katikati
Ambalo liko nje ya uwezo wao na kuwalazimu wao kukanusha kuwa hatukukubaliana malipo katika show, mbali na kuwa walishachukua pia mpaka advance. Wote wawili
Wao wote wawili humuita Captain Dady:
Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Dady na mtoto:
(News) SABABU ZA MATONYA KUTOSHIRIKI SHOW YA MIAKA 13 YA LADY JAYDEE
Tetesi zinaweza kuwa za ukweli au pengine zikawa ni story za kujitungia
Lakini tetesi
zinasema kuwa Matonya alipigiwa simu na wazee wa fitna mara tu
waliposkia kluwa atashiriki onyesho la miaka 13 ya JayDee, wakamwambia
aachane na hiyo show na kuwa watampa hela ambayo angelipwa kwenye show
hiyo.
Na pia wangemuandalia show yake mwenyewe kubwa zaidi ya hiyo miaka 13 ya JayDee
Hizo ni fununu, ambazo hazina uhakika.
Lakini tukirudi
upande wa Matonya ambae alishapokea mpaka malipo ya awali na kukubali
kufanya show baadae akachomoa ni kama ifuatavyo.
Tuesday, May 14, 2013
UJUMBE KWA MDAU MKUBWA DJ CHOKA THEN KWA WAHUSIKA WOTE.
Huyu Mpoto naanza kupata tafsiri tofauti kidogo juu yake na kuanza
kuamini kwamba katumiwa kuangusha madai ya msingi sana, support ya
muziki by CFM iz obvious n undisputed BUT it was supposed to be beyond
obvious and non discriminatory, ye mwenyewe kazungumza kuhusu Tanzania
na mambo ambayo hayaendi sawa katika tungo zake, haimanishi kwamba
serikali haijafanya chochote. Kuna mambo ambayo hayaendi sahihi ndo
maana kazungumzia katika nyimbo zake. Jay Dee kama alivyo Mpoto kwa
maana kwamba wote ni wasanii na watunzi na zaidi maisha yao yamejikita
katika muziki, kwa mlinganyo sawa kama ulivyoimba uhalisia juu ya
Tanzania, Jay Dee pia kaamua kuyasema anayoona si sawa na kila mmoja
anatambua. Alichokifanya Mpoto ni sawa na mtu mwingine yule aibuke leo
na kusema kwamba Mpoto anamsema vibaya mjomba, lazima atawashanganza
wote wenye busara. Hivyo ndivyo Mpoto alivyowashangaza Watanzania wenye
busara na wapenda maendeleo ya muziki wa Kitanzania.
Labels:
News
(Audio) Biggie Boss - Hands Up
Check out a new Club banger kutoka kwa Hip hop artist ...BIGGIE BOSS Tz...Track is called 'HANDS UP"...
Ngoma hii itaingia mtaani soon na kuuuzwa kama single track.Video on Progress.Wadau wote stay tune and support your own..One Love..ASANTENI SANA
Ngoma hii itaingia mtaani soon na kuuuzwa kama single track.Video on Progress.Wadau wote stay tune and support your own..One Love..ASANTENI SANA
Track :" HANDS UP"
Artist : Biggie Boss
Produced by : KITA
For More Info check:
Leonard Christopher
Director/Creative
RIGHT SOLUTION
Tanzania
+255 714 973096
+255 714 973096
(News) Sauti Sol, Prezzo and Eric Wainaina giving out music for free
|
|
|
Labels:
News
(Photo's) MAKING VIDEO YA MAJANGA NDANI YA SOUTH AFRICA
Video ya wimbo wa MAJANGA wa SNURA imefanyika katika nchi mbili tofauti
ambapo ni Tanzania na south Africa kwa Tanzania itafanyika magwepande
wilaya ya pwani na hivi karibuni kumalizia vipande vya video hiyo na
SOUTH AFRICA imefanyika katika mji wa PRITORIA NA JOHANESBUG. ni video
inayoonyesha mazingira harisi ya wimbo huo kwa kila eneo, mastar
mbalimbali wataonekana katika video hiyo ya majanga akiwepo JACKLINE
WOLPER,CHUCHU HANS,CHEK BUDI,DUDE, na wengine kibao.Akiongea manager wa
SNURA hemedi kavu a.k.a hyperman h.
Labels:
Behind The Scene,
Snurah
(News) Huu ndio msimu mpya wa THE LEGEND IS BACK "NIGHT OF THE LEGENDS"
Sasa kumeanzisha msimu mpya wa The Legend is
back, usiku utakuwa unaitwa NIGHT OF THE LEGENDS au USIKU WA MALENGEDARI unaofanyika kila Jumamosi katika ukumbi mpya ISUMBA LOUNGE zamani Jollys Club, ukiwa kama mdau wa burudani na mtu wa karibu wa DJ JD basi hii sio yakukosa kila Jumamosi tunakutana hapo Isumba Lounge halafu tunaruka mangoma ya zamani na kukutana na marafiki wa zamani na kukumbushana mambo yaliyotokea zamani..
Official New Single Release: Prezzo - LiqHer
Prezzo, a rapper from Kenya with a big heart great style and a positive
attitude. He just won second place on the 2012 season of Big Brother
Star Game, earning him a gig as a ONE Ambassador and tickets to a Jay Z
concert in New York City.
Jackson Ngechu
Makini, popularly know as CMB Prezzo was born in Nairobi in the 80s and
grew up in the streets Eastleigh. He did his Aviation course in Canada
and a degree from Southern Alberta Institution of Technology . He
started his music dream way back but only blew up in the early years of
the 21st century.
The
1st album also featured his own mother-who sang a few linesin one of
the songs. The album sold a good number of copies which proved the
appreciation for this new artist from his fans and Prezzo was widely
accepted in East Africa and his popularity heightened by his flossing
antics.
Prezzo
is well known for his flashy lifestyle consisting of expensive
jewellery, lavish clothing, flashy car among an array of other fine
things. He brought the "show" in showbiz to East Africa going for the
shows in CHOPPERS and he was eventually crowed the King of Blingz. He also won the award for "Best Dressed Celebrity" 3 years in a row.
Enjoy the music ..!!
Regards,
Arthur
Manager
(For any booking and media inquires contact: arthur@unitytanznia.com)
(Audio) G-Hood na Defxtro - Naendelea Kutafuta
Anaitwa G-Hood toka Arusha,Newcomer aliyeanza harakati za kurekodi mwaka
huu, na zaidi ni rapper anayefanya zaidi muziki wa crunk na pia
Trap..Ngoma yake amefanya pande za Noizmekah studios akimshirikisha
defxtro katika chorus ya wimbo huu wa "Naendelea Kutafuta" Download HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania kwa mahojiano zaidi na mwasiliano check na G-hood kupitia +255 759 903 824
Labels:
Music
(Photo's) JOH MAKINI atembelea CHUO KIKUU CHA DODOMA (UDOM)
Jana jumatatu msanii wa miondoko ya Hip Hop nchini anajulikana kwa jina la JOH MAKINI alitembelea Chuo kikuu cha DODOMA (UDOM) na kupitia miti yake na kuimwagilia maji, miti hiyo ni aliipanda wiki tatu zilizopita alipokuja na team nzima ya GrandMalt chuoni hapo.
Labels:
joh makini,
News,
UDOM
(Audio) LadyYoo ft YungOmega - Kivipi
Kwa mara nyingine anakuja Mwanadada Rappa Lady Yoo Akiwakilisha Sanawari
akishirikiana na Yungo Omega toka River Camp Soldiers katika hili
Hiphop Ragga Joint lilosukwa pande za Noizmekah Production Studios
Arusha linakwenda kwa jina "Kivpi", Mpango mzima ni kuendeleza muziki wa Tanzania especially kwa Wanadada wanao struggle kuwakilisha katika fani. Download HAPA na kwa mawasiliano zaidi check na LadyYoo kupitia namba +255 758 394 470 Yung Omega kupitia +255 759 166 037 Powered by www.vmgafrica.com
Labels:
Music
(Audio) Cash clan Yaja Tena na "Wakali wa Kitaa"
Cash clan Yaja Tena na "Wakali wa Kitaa", Ngoma ambayo wamerekodi pande za noizmekah studios Arusha Tanzania kwa usimamizi wa producer Defxtro, Pata kuusikiliza HAPA na endelea kusupport muziki wa Tanzania
Labels:
Music
Friday, May 10, 2013
(News) HEMEDY PHD kuizindua REST OF MY LIFE Jumapili hii ndani ya CLUB BILICANAS
Msanii maarufu wa filamu na mziki wa kizazi kipya HEMEDY PHD a.k.a CHAPA ILALE. Anatarajia kuzindua single yake mpya iitwayo REST OF MY LIFE aliyomshirikisha MR BLUE katika ukumbi Bilicanas usiku wa tarehe 12 Jumapili hii. Katika usiku huo atasindikizwa na wasanii wenzake kama Gelly wa Rhymes, Mr Blue, Mabeste na Cyrill na kuhusu kiingilio kitakuwa ni elfu 6.
(Audio) T-Fighter - SIJUTII
OVERCLASSIC MUSIC - INTRODUCE THE 1ST LADY FROM DSM - T FIGHTER
SONG - SIJUTII
ARTIST - T-FIGHTER
Producer - EIZER
STUDIO - OVERCLASSIC MUSIC.. MWANZA
SONG - SIJUTII
ARTIST - T-FIGHTER
Producer - EIZER
STUDIO - OVERCLASSIC MUSIC.. MWANZA
Labels:
Music
Subscribe to:
Posts (Atom)



























.jpg)
.jpg)










